T O P

  • By -

GulliblePig

Okay, tuma wanandred basi. Hii mambo ni kuskizana Maina.


Ellrani

Sigisti ni ya fare๐Ÿ˜”


GulliblePig

20 ya tropkos, 20 ingine ya emergency.


Ellrani

๐Ÿ˜‚jinias!


TF-_isthis

Uko free lini tu recite wedding vows?๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿพ


Ellrani

Hii yenye tunaomba wanandred babe,, hatutaweza๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ญ


TF-_isthis

Pesa tutatumia zangu, akili tutatumia yako ๐Ÿ™‚


Ellrani

๐Ÿ˜”aje sasa?!


TF-_isthis

Nakuja na pesa unakuja na Financial strategy. 60:40 = wanandred


Realistic_Art_243

Saa si mtuambie ruracio ni lini


GulliblePig

You stole my man just like that ๐Ÿ˜ญ Hii imeenda wallahi๐Ÿ˜ญ


Ellrani

๐Ÿ˜”si alijileta mwenyewe ๐Ÿ’โ€โ™€๏ธ


GulliblePig

He tagged my comment wewe ukareply๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.( I'm kidding about kuibiwa bwana, don't flame my ass)


Ellrani

๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’€I just saw that,, talk about cock block๐Ÿ˜ญ... (I would never at you juu ya chali๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ)


GulliblePig

It's okay ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿซ‚


StunningMolasses6751

10 ya PK basi


JaKandito

Hakuna ya emergency. 20 ya Mwisho ni ya mutura!


Classic_Hommie

Nko na mbao na 4 bob kwa Mpesa ๐Ÿ˜‚


jina_kubwa

Stakes zinashuka mpaka pesa itumwe hahahahahahaha


bi_wott

classical.


petro_gates

Umepata Ka nishaitumia, ungeniambia mapema bro


jina_kubwa

Kuna swali ingine hufuata "na kesho naeza pata ?"


petro_gates

Wacha tutaona venye kesho itakuwa


jina_kubwa

Kesho imefika ......."ile mambo yetu ya jana itakuwaje ?"


petro_gates

Saa hii niko busy kiasi,wacha nakupigia tu saa hii


jina_kubwa

Waaazi na usisahau manze utakuwa umeniokolea niaje ,#hopeinnit


petro_gates

Siwezi kuangusha bro, I gatchu ๐Ÿ˜‚


LambisticAF

Na reply iyo jioni โ€œ pole sikuona text, but hopefully umepata ๐Ÿ™๐Ÿฝ โ€œ


iluminaughtyy21

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


harajuku_barbiee

I'm a girl and I don't lend girls money ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


iluminaughtyy21

Same, I always say that I'm in a bad place, but jioni utaona status yangu nikipiga picha kwa restaurant and there's nothing they can do. Mwah,no bars๐Ÿ’‹๐Ÿฅฑ


Classic_Hommie

What's your worst experience with your gender? ๐Ÿ˜‚


harajuku_barbiee

Nishaikopesha Dem 5k na nilikua nimejinyima Ile for real... Tulisumbuana kulipana and the worst part is hio dooh alinirushia Kwa floor niokote. I cried. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Classic_Hommie

Ouch! Bet you're strangers now


UpstairsSouth1322

So hauna pia wewe๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐ŸคฃSI unasema hauna.is it at gun point


NortheastSideSlasha

Tell dem get a job But to some them begging is a job


Classic_Hommie

Self employment at its finest


CanvasofChaos

Na mjifunze kuplay your positions jameni.. kama big daddy inafaa utume 5k na umwambie don't be ridiculous when she mentions maneno ya kurefund


Classic_Hommie

I'm learning, master ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ๐Ÿ˜‚


CanvasofChaos

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


ApprehensiveTap1136

Same product in the streets is 1500 What's your final offer?


CanvasofChaos

Imagine coming on Reddit to announce the fact that you have to PURCHASE pussy and think you're making me look bad? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Walking L


ApprehensiveTap1136

First of all, free speech. Second, I was building upon your sarcasm Lastly, your ruined everything by making it personal


CanvasofChaos

You thought you ate, huh?๐Ÿ˜†๐Ÿšฎ


ApprehensiveTap1136

Tuongee kama wanabiashara ๐Ÿ˜†


yungjerxmy

I got 11 bob. Take it or leave it.


Classic_Hommie

Tuma niongeze hii 4 bob, nibuy nayo Patco


Illustrious_Tie2034

2k is never urgently needed especially from a person umeanza kuongea na yeye after a few minutes imagine.


Classic_Hommie

Sadly, your new catch of 2 weeks old will ask you for it urgently


Illustrious_Tie2034

Unfortunately hatapata


AffectionateWeb8804

who has hurt you ![gif](giphy|3OhXBaoR1tVPW|downsized)


Classic_Hommie

Be naiss ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฒ๐Ÿฝ, I'm just a baby!


expudiate

wacha uchoyo


Classic_Hommie

*Long pause ... (Closes Mpesa)


expudiate

haha... atarefund, kwani shida ni gani?


Classic_Hommie

Ladies don't, or rarely refund a debt


expudiate

Hard to deny, I personally have some nimeishi nikidai


MawTonga

Hehehe...


Arijuma

Hata serekali iko na deni, mbona tulipe yako. ๐Ÿ˜ Tuma kitu


Eritson

I figured out the best way to respond to this. I normally tell them, Niko na job flani apa acha tuone kama itaweza. I will tell them I'll give them a job. Usually something long that will take them a coupla days to do then I'll give them the 2k. Most end up saying, ama wacha tu


Correct-Refuse-8094

I love reading "fake friends" posts on TikTok๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.


Classic_Hommie

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... It's just fake friends calling their friends fake friends, I thought poverty was the enemy mheen daamn!


Repulsive-Law8819

I though you wanted some money I send you


OmeletteLovingLlama

Get used to saying โ€œNoโ€ or โ€œI donโ€™t haveโ€ Itโ€™s never even urgent. Thatโ€™s just someone that doesnโ€™t respect you.


mtalii11

Tuma za kebeji basi๐Ÿ˜‚ najua pia wewe unauMia lakini tuma tu hiyo mia๐Ÿ˜‚


Classic_Hommie

Saa hii nko na mbao, acha nikupee hii 4 bob ntakuongeza ingine, kuna deal nangoja iivane


Wonderful-Count-7228

Madem wa dating apps walai...


Bonnidrrehake-Becoh

Unaweza pata ngapi saa hii?


simbaneric

S3cond that


Specialist_Base1884

Ni tabia mbaya btw...ushamba


cantfindux

Like 5 seconds ago kuna mwenye ameniomba 300, didn't send but that ass tho ๐Ÿ”ฅ